-Kuhusu Sisi-

Maono Yetu
Tanzania yenye makundi maalum yanayoishi maisha ya kuridhisha kama wanajamii sawa katika jamii.

Dhamira Yetu
Kuboresha kiwango cha maisha kwa makundi maalum nchini Tanzania kwa kushirikiana na serikali, mashirika na wadau wengine.

Walengwa Wetu
- Wanawake
- Watoto
- Wazee
- Walemavu
- Vijana

Wigo Wetu
- Elimu
- Afya
- Usafiri na Mawasiliano
- Sayansi na Teknolojia
- Mazingira
- Uchumi
—Msaada Wako Unazidi Msaada wa Kibaadhi Tu—





