
Kanusho la Umiliki:
Ishi Nia Foundation haiendeshi, haimiliki, wala haisimamii kituo chochote cha watoto yatima kilichoonyeshwa kwenye ukurasa huu.

Kanusho la Taarifa:
Taarifa zinazowasilishwa kwenye ukurasa huu, ikiwa ni pamoja na eneo la kituo na mawasiliano, zinaweza kubadilika kutokana na uhamisho, maamuzi ya kiutawala au hali nyingine zisizotarajiwa.
Ingawa Ishi Nia Foundation inajitahidi kuweka taarifa hizi sahihi na za karibuni kadri iwezekanavyo, tunawahimiza wasomaji na wahisani kuwasiliana nasi moja kwa moja au na vituo husika ili kupata taarifa za karibuni.

Kanusho la Misaada:
Ishi Nia Foundation hatupokei wala hatutumi misaada ikiwemo fedha kwa niaba ya kituo chochote.
👉 Msaada wowote unatakiwa kutumwa moja kwa moja kwa kituo husika baada ya kuwasiliana na msimamizi wake na kupata maelekezo ya ziada.
👉 Tovuti hii haina jukumu la usimamizi wa misaada, bali ni jukwaa la taarifa.
👉 Kabla ya kutuma msaada, tafadhali hakikisha unathibitisha taarifa za kituo na njia sahihi za misaada kupitia mawasiliano yaliyotolewa.

Al-Furqan Foundation
Mahali: Chanika, Dar es Salaam

+255 696 475 750, +255 754 302 082
Taarifa imesasishwa: Septemba, 2025

Al-Madina Childrens Home
Mahali: Tandale, Dar es Salaam

+255 655 167 274, +255 655 360 003
Taarifa imesasishwa: Juni, 2025

CHAKUWAMA
Mahali: Sinza Mori, Dar es Salaam

+255 652 345 457
Taarifa imesasishwa: Juni, 2025

Lady Fatima Orphanage Center
Mahali: Kigamboni, Dar es Salaam

+255 755 896 896
Taarifa imesasishwa: Februari, 2025

Malaika Children’s Home
Mahali: Mkuranga, Pwani

+255 655 786 011
Taarifa imesasishwa: Juni, 2025

Mwandaliwa Orphanage Center
Mahali: Bunju, Dar es Salaam

+255 715 720 022, +255 785 555 506
Taarifa imesasishwa: Juni, 2025

New Faraja Orphanage Center
Mahali: Mabibo, Dar es Salaam

+255 676 081 666, +255 766 550 658
Taarifa imesasishwa: Juni, 2025

SINTANIZER Orphanage Center
Mahali: Mburahati, Dar es Salaam

+255 692 429 001
Taarifa imesasishwa: Juni, 2025

SOS Orphanage
Mahali: Mawasiliano, Dar es Salaam

+255 680 842 092
Taarifa imesasishwa: Juni, 2025

SUNNAT Orphanage Center
Mahali: Lumo, Dar es Salaam

+255 717 039 104
Taarifa imesasishwa: Mei, 2025

(TUYATA) Tulee Yatima Tanzania
Mahali: Magomeni, Dar es Salaam

+255 658 096 660, +255 718 830 830
Taarifa imesasishwa: Juni, 2025

Uhai Development Organization (UDO)
Mahali: Chanika, Dar es Salaam

+255 682 737 690
Taarifa imesasishwa: Septemba, 2025





